Wazito Walemewa na Kimanzi

Mkufunzi wa klabu cha wazito Fransis Kimazi na kamati yake ya kiufundi wamepigwa kalamu hii leo na klabu hio. Klabu hio ilitangaza ya kwamba Kimanzi, msaidizi wake Jeff Odongo na Yule wa magolikipa John Kamau wameiga klabu hio.

Also Read
Taasisi ya mafunzo kwa walimu kufunguliwa mwakani Kwale

Kimanzi aliteuliwa na klabu hio kama kiongozi wao mwaka wa 2020 lakini uongozi wake umekuwa na matokeo duni huku kikosi hicho kikishindwa kuonyesha ubora wake viwanjani msimu huu.

Also Read
Also Read
Naibu rais Dkt William Ruto ajibu madai kuwa anamiliki kipande kikubwa cha ardhi Laikipia

Kocha Fred Ambani ambae alikuwa msimamizi wa chipukizi wa kilabu hio, ndie atakaechukua nafasi ya Kimanzi kama mkuu wa kikosi hicho kwa muda.

  

Latest posts

Wakenya Wapongezwa Kwa Kudumisha Amani

Clavery Khonde

Wiper Yaapa Kujiimarisha Zaidi Pwani

Clavery Khonde

Rais Mteule Ruto Kukutana Na Viongozi Wa Mrengo Wa Kenya Kwanza

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi