Willy Paul Ailtaka Kunibaka,’Asema Diana Marura’

Diana Marua amedai kuwa msanii Willy Paul alijaribu kumbaka. Diana amefichua tarifaa hii baada ya Willy Paul kuachia Diss track ambapo amedai kuwa amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi naye.

Kupitia kipande cha video alichoachia kwenye Youtube channel yake Diana amesema Willy Paul amelitaja jina lake ili kupata kuzungumziwa na watu, kwa sababu kwa sasa ameanza kupotea kimziki.

Also Read
Trump atia doa penzi la Lil Wayne

Diana amesema kuwa miaka kadha iliyopita Willy Paul aliwahi kumtaka kimapenzi, na baada ya kukataa ombi lake alianza kumlazimisha kwa nguvu, huku akisumulia jinsi alivyonusurika kubakwa na Pozee ndani ya gari lake baada ya Willy paul kumpapasa kwa lazima na kuishia kuchana nguo zake.

Also Read
Subscribers million moja
Also Read
Baraza La Sanaa Taifa Lapiga Marufuku Nyimbo ya Mwanamuziki Nay wa Mitego.

Aidha Diana amesema kuwa ilimchukua muda wa miaka mitatu kufunguka na kumwelezea mume wake Bahati kile alichopitia mikononi mwa Willy Paul.

 

  

Latest posts

Polisi wamwachilia shabiki aliyemchafua Pday mtandaoni

Ken Wekesa

Majix Enga akiri kujiunga na Illuminati

Ken Wekesa

Tanasha Donna Asema Kuwa Alilazimishwa Kufanya Mziki Asioupenda

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi