Wiper Yaapa Kujiimarisha Zaidi Pwani

Chama cha WIPER kimesema kinapania kuimarisha mizizi yake katika kanda ya pwani kwenye chaguzi zijazo.

Hii ni kauli ya mwenyekiti wa chama hicho kaunti ya Mombasa Sheikh Twaha.

Also Read
Ugonjwa wa Kifafa Unatiba,asema dkt.Eddy Chengo.

Akiongea na pwani fm Twaha amsema kuwa awali walikua na matumaini makubwa yakushinda kiti cha ugavana kaunti ya Mombasa kupitia mgombea wao ambaye alikua ni Mike Sonko kabla ya uamuzi wa mahakama.

Also Read
Viongozi kaunti ya Lamu wamsuta gavana Twaha

Amefafanua kuwa kwa sasa wanajipanga upya kukiimarisha chama hicho.

Also Read
Serikali yatakiwa kutatua tatizo la mashamba Lamu ili kumaliza tatizo la usalama eneo hilo

Wakati uo huo Twaha amewashukuru wakenya kwa kuwachagua viongozi wanaoegemea chama hicho katika sehemu mbalimbali katika eneo la pwani huku akiwahimiza wakenya kuzidi kudumisha amani.

  

Latest posts

Rais aahidi kukomesha aibu ya njaa nchini

Joshua Chome

Mradi Wa Unyunyiziaji Mashamba Maji TanaRiver Waimarishwa

Ruth Masita

Gavana Achani akemea wanaoendeleza kuhubiri siasa chuki Kwale

Ibrahim Nyundo

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi