Zaidi Ya Vijana 300 Waasi Utovu Wa Uhalifu Yasema KECOSCE

Zaidi ya vijana 300 kutoka Matuga na Nyali katika kaunti za Kwale na Mombasa wametajwa kuachana na utovu wa uhalifu.

Kwa mujibu wa shirika la kijamii la Kenya Community Support Centre (KECOSCE) ambalo limekuwa likiendeleza hamasa za mara kwa mara katika eneo la Ng’ombeni wengi wameasi uhalifu.

Afisa wa shirika hilo Mwalimu Rama kutoka kaunti ya Kwale amesema  kuwa wamefanikiwa kuwanasua vijana wahalifu kupitia mpango wa mafunzo ya udereva ulioanzishwa katika eneo la Nyali.

Also Read
Kilio Cha Kufungwa Kwa Timbo Kwale
Also Read
Vijana Wanafaa Kuhamasishwa Kuhusu Majukumu Ya Viongozi Asema Kiongozi Wa Vijana Mombasa

Wakati huo huo, Rama amewataka vijana kuwa wabunifu na kutumia mbinu mbadala za kujikimu kimaisha badala ya kujihusisha na uhalifu.

Also Read
Serikali Ya Kaunti Ya Kilifi Inafaa Kuhusisha Wananchi Katika Utekelezwaji Wa Maendeleo Asema Mwaro

Afisa huyo aidha amewataka vijana kutokubali kutumiwa vibaya na viongozi wa kisiasa kwa sababu ya ukosefu wa ajira.

 

 

 

 

  

Latest posts

Mvurya Ataka Maafisa Wa Idara Na Mashirika Ya Serikali Kuhusu Maendeleo Zishirikishe Serikali Za Ugatuzi

Ruth Masita

Wanawake Wajasiriamali 450 Wanufaika Na Mafunzo Ya Kibiashara Mombasa

Ruth Masita

Mahakama yamwachilia mbunge wa Sirisia John Walukhe kwa dhamana ya shilingi milioni kumi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi