Zimbabwe yaamrisha chanzo ya lazima kwa wafanyakazi wa serikali.

Serikali ya Zimbabwe imetoa sharti la kupokea kwa chanjo ya Covid-19 kwa wafanyakazi wake wote wa serikali la sivyo wajiuzulu.

Ikisema hatua hiyo inalenga kupunguza hatari ya kueneza virusi.

Also Read
Wanasiasa Waonywa Kwale

Kwa mujibu wa waziri wa sheria nchini humo Ziyambi Ziyambi kupitia mahojiano na kituo cha redio cha eneo hilo,wafanyikazi wanofikiria wana haki ya kuchagua ikiwa wanaweza kupewa chanjo au la wamekosea.

Also Read
Team Badilika

Aidha serikali hiyo pia ilianzisha kanuni mpya kwa makanisa na mikahawa kuruhusu watu walio na kadi ya chanjo pekee ndani ya majengo yao.

Also Read
Burudani,Corona na athari zake.

Lengo kuu ikiwa ni kukabiliana na changamoto ya watu kusita kuchanjwa .

Kufikia sasa nchi hiyo imeweza kutoa chanjo kamili kwa watu milioni 1.7 pekee.

  

Latest posts

Uungereza Yaahidi Kushirikiana Na Kenya Kukabili Korona

Clavery Khonde

Wakenya Wahimizwa Kuwatunza Wanao Dhidi Ya Biashara Ya Ngono

Clavery Khonde

Viongozi Wa Dini Kwale Waonywa Dhidi Ya Kujihusisha Na Siasa

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi