Wahasibu watakiwa kufichua ufisadi bila uwoga
Waziri wa usalama wa kitaifa Dkt. Fred Matiang’i ametoa wito kwa wahasibu kutosita kufichua vitendo vya ufisadi wanavyokumbana navyo wanapotekeleza majukumu yao akisema wanalindwa na sheria dhidi ya yeyote atakayetaka kuwadhuru. Akiongea mjini Mombasa alipohutubia mkutano wa 39 wa chama cha wahasibu humu nchini Dkt....