Barkane na Pirates kukabana koo Ijumaa fainali ya kombe la shirikisho

Klabu ya RS Barkane ya Morocco itachuana na Orlando Pirates kutoka Afrika Kuisni kwenye fainali ya kombe la shirikisho la soka Afrika Ijumaa hii nchini Nigeria.

Berkane walijikatia tiketi kwa fainali baada ya kuwanyuka TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mabao 4-1 Jumapili usiku , katika marudio ya nusu fainali Jumapili usiku nchini Moroko na kufuzu kwa ushindi wa jumla wa magoli 4-2.

Also Read
KEMSA yaagizwa kusambaza dawa kwa Serikali ya Busia
Also Read
Afisa wa polisi amuua mpenziwe kabla ya kujitoa uhai kaunti ya Nakuru

Kule mjini Jo’berg Oralndo Pirates walipigwa nyumbani bao 1 kwa bil na wageni Ahli Tripoli kutoka Libya bao 1 kwa bila ,lakini wakafuzu kwa fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 2 kwa moja.

Also Read
Everton kujenga uwanja mpya

Fainali ya kombe hilo itaandaliwa Ijumaa hii mjini Uyo nchini Nigeria.

Barkane watakuwa wakiwania kombe hilo kwa mara pili tangu watawazwe mabingwa mwaka 2020.

  

Latest posts

Shikanda ahifadhi uenyekiti wa AFC Leopards

Dismas Otuke

Kalle Rovanpera atwaa ubingwa wa raundi ya Kenya mashindano ya WRC

Tom Mathinji

Ajali ya kwanza yatokea katika barabara ya Expressway

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi