Bethwel Yegon wa Kenya amaliza wa pili huku Bekele akionyeshwa kivumbi Berlin Marathon

Bethwel Yegon wa Kenya amemaliza nafasi ya pili kwenye makala ya 48 ya mbio za Berlin Marathon Jumapili nchini UJerumani.

Yegon ameziparakasa mbio hizo kwa saa 2 dakika 6 na sekunde 14 nyuma ya mshindi Guya Adola wa Ethiopia aliyeibuka mshindi kwa saa 2 dakika 5 na sekunde 45 naye Kenenisa Bekele akachukua nafasi ya tatu kwa saa 2 dakika 6 na sekunde 47 .

Matokeo ya 1o bora wanaume
1. Adola, Guye (ETH) – 2:05:45
2. Yegon, Bethwel (KEN) – 2:06:14
3. Bekele, Kenenisa (ETH) – 2:06:47
4. Abate, Tadu (ETH) – 2:08:24
5. Muteti, Cosmas (KEN) – 2:08:45
6. Kacheran, Philemon (KEN) – 2:09:29
7. Tsegay, Okbay (ERI) – 2:10:38
8. Kimeli, Bernard (KEN) – 2:10:50
9. Hijikata, Hidekazu (JPN) – 2:11:47
10. Kipkemboi, Hosea (KEN) – 2:12:25

Also Read
Makala ya 32 ya Olimpiki yaanza rasmi jijini Tokyo huku zaidi ya wachezaji 11,000 wakishiriki

Waethiopia wametawala mbio za wanawake wakitwaa nafasi nne za kwanza wakiongozwa na Gotytom Gebresase kwa saa 2 dakika 20 na sekunde 9,akifuatwa na Hiwot Gebrekidan kwa saa 2 dakika 21 na sekunde 23 huku Helen Tola akichukua nafasi ya tatu kwa saa 2 dakika 23 na sekunde tano naye Edith Chelimo wa Kenya akaambulia nafasi ya 4 kwa saa 2 dakika 24 na sekunde 33.

Also Read
China yatwaa uongozi wa medali katika Olimpiki baada ya kuzoa dhahabu 2 na shaba 1

Matokeo ya wanawake 10 bora

Also Read
Wanyonyi,Kipyegon,Kipchoge na Athletics Kenya kubaini mbivu na mbichi tuzo za mwaka huu mjini Monaco

1. Gebreslase, Gotytom (ETH) – 2:20:09
2. Gebrekidan, Hiwot (ETH) – 2:21:23
3. Tola, Helen (ETH) – 2:23:05
4. Chelimo, Edith (KEN) – 2:24:33
5. Demise, Shure (ETH) – 2:24:43
6. Chemutai, Fancy (KEN) – 2:24:58
7. Paszkiewicz, Izabela (POL) – 2:27:41
8. Chebitok, Ruth (KEN) – 2:28:18
9. Sch̦neborn, Rabea (GER) Р2:28:49
10. Strähl, Martina (SUI) – 2:30:37

  

Latest posts

Zadock Sanawa ajishindia gari la shilingi milioni 1 nukta 2 kutoka Mozzarbet

Dismas Otuke

Mashabiki 10,000 kuingia Nyayo kwa mechi ya Gor Mahia dhidi ya Otoho Jumapili

Dismas Otuke

Shujaa kufungua dimba dhidi ya Australia Dubai Sevens

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi