Bingwa wa Afrika Vanice Kerubo ashinda mita 400 kuruka viunzi Kip Keino Classic

Bingwa wa Afrika mwaka jana katika mbio za mita 400 kuruka viunzi  Vanice Kerubo amestahimili ukinzani mkali na kushinda mbio  hizo katika katika uwanja wa Nyayo likiwa shindano la kitaifa katika amshindnao ya Kip Keino Classic Continental Tour.

Also Read
Samba Boys waanza kwa makeke safari ya kwenda Qatar mwaka 2022
Also Read
Mancity yatinga fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kwa mara ya kwanza

Kerubo alidhihirisha umahiri wake na kukata utepe kwa dakika dakika 1 sekunde 2 nukta 29 akifuatwa katika nafasi ya pili na Caroline Waiganjo kwa dakika 1 sekunde  4 nukta 82 huku Elizabeth Kimuyu akiibuka wa tatu kwa dakika 1 sekunde 6 nukta 9.

Also Read
Gor waangukia NAPSA All Stars kuwania tiketi ya makundi ya kombe la shirikisho

 

  

Latest posts

Tusker kushikana mashati na Gor Mahia mechi ya kufungua pazia la msimu kuwania kombe la supa

Dismas Otuke

Isabella Mwampambo mkuzaji vipaji vya soka Upendo Friends Sports Academy mjini Arusha Tanzania

Dismas Otuke

Shujaa yashindwa fainali ya kombe kuu na Afrika Kusini 5-38 Vancouver 7’s

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi