Clifton Miheso atawazwa mshindi wa kwanza wa mchezaji bora Betsafe wa mwezi Julai

Wing’a wa Gor Mahia winger, Clifton Miheso, ndiye mshindi wa kwanza wa tuzo ya kila mwezi ya mchezaji bora inayofadhiliwa na kampuni ya betsafe
, tuzo inayoandamana na zawadi ya shilingi 25,000.

Also Read
Sirkal waikata kucha Leopards kwa mara 31 ligi kuu FKF
Also Read
Simba SC:Joash Onyango asaini mktaba mpya Dar

Kampuni ya Betsafe ilizindua tuzo hiyo mwezi uliopita baada ya Gor Mahia kunyakua kombe la shirikisho .
Kwa kawaida mshindi wa tuzo hiyo atakuwa akichaguliwa na mashabiki.

Also Read
Mweka hazina wa zamani wa Gor Mahia FC Sally Bolo kugombea ubunge Lang'ata

Tuzo hiyo itakuwa ikitolewa kila mwezi.

  

Latest posts

Takwimu za kipute cha 22 cha kombe la dunia nchini Qatar

Dismas Otuke

NPS: Oparesheni ya kiusalama Turkana yazaa matunda

Tom Mathinji

Bodi ya dawa na sumu yapiga marufuku uuzaji wa dawa ya kupanga uzazi ya ‘Sophia’

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi