Coutinho kusalia mkekani kwa miezi mitatu

Kiungo wa Barcelona  Philippe Coutinho atakuwa nje kwa miezi mitatu kufuatia kufanyiwa upasuaji wa goti .

Mbrazil huyo aliye na umri wa miaka  28 alifanyiwa upasuaji baada ya kujeruhiwa katika sare ya Barca ya goli 1-1 dhidi ya Eibar Alhamisi iliyopita ugani Nou Camp.

Coutinho aliyekuwa na Munich msimu jana kwa mkopo ameichezea Katalunya mechi 14 msimu huu  na anajiunga na majeruhi wengine Nou Camp akina Ansu Fati na  Gerard Pique.

  

Latest posts

Kenya Simbas yanusurika na kufuzu kwa fainali ya kombe la Afrika

DOtuke

Injera na Onyala kukosa nusu fainali ya Algeria baada ya kujeruhiwa

DOtuke

KBC yafadhili timu ya magari itakayoshiriki mashindano ya Machakos Rallycross

DOtuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi