Difenda Oruchum ajiunga na Tusker fc kwa miaka miwili

Beki wa kilabu ya Afc  Leopards Christopher Oruchum amejiunga na wagema mvinyo Tusker Fc kwa kandarasi ya miaka miwili.

Huu ni usajili wa kwanza kwa Tusker katika uhamisho wa sasa wa wachezaji  uliofunguliwa Agosti 10 na awali ameichezea pia Thika United.

Also Read
Timothy Otieno ajiunga na Napsa Fc -Zambia

“kitu  kikubwa kilichonichochea kujiunga na Tusker ni kuwa ni kubwa nchini  na nitakuwa na uwezo kukutana na timu kubwa Afrika “akasema Oruchum punde baada ya kusaini mkataba leo katika uwanja wa Ruaraka ambao ni makao makuu ya Tusker Fc

Also Read
Kipyegon na Jeruto wawika Prefontaine Classic

Timu nyingi katika ligi kuu zimo mbioni kuimarisha makali ya vikosi vyao,huku msimu mpya wa ligi ukitarajiwa kuanza aidha mwishoni mwa mweiz huu au mapema mwezi ujao.

Also Read
Simba wa Teranga kupimana nguvu na Morocco

 

  

Latest posts

Malkia Strikers yafunga mechi za makundi kwa kuilaza Burundi seti 3-0 mashindano ya kuwania kombe la Afrika

Dismas Otuke

Waziri wa zamani wa michezo Hassan Wario afungwa miaka 6 gerezani na kulipa faini ya shilingi milioni 3 nukta 6

Dismas Otuke

Bingwa mara tatu wa dunia Justin Gatlin awasili tayari kushiriki Kip Keino Classic Jumamosi

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi