Elain Thompson awaongoza vidosho wa Jamaica kufagia medali zote za mita 100

Elain Thompson wa Jamaica ndiye bingwa mpya wa Olimpiki baada ya kuwaongoza wenzake kunyakua nishani zote tatu za mita 100 Jumamosi alasiri mjini Tokyo Japan huku riadha ikiangia siku ya kwenye michezo ya Olimpiki.

Also Read
Jebitok,Kipyegon na Chebet wafuzu kwa nusu fainali ya mita 1500

Thompson alisajili rekodi mpya ya Olimpiki ya sekunde 10 nukta 61 huku nishani ya fedha ikimwendea Shellyb Ann Freyser Pryce kwa sekunde 10 nukta 74 wakati shaba ikitwaliwa  Shericka Jackson pia kutoka Jamaica kwa sekunde 10 nukta  76 .

Also Read
Malkia Strikers yawasili Tokyo tayari kwa michezo ya Olimpiki
Also Read
CR7 kufungua mkahawa Marakech Moroko

 

Ni mara ya kwanza katika riadha ya Olimpiki mwaka huu ambapo medali zote tatu zimenyakuliwa na taifa moja.

 

  

Latest posts

Idadi ndogo ya wakazi wa Nairobi wajitokeza kuchanjwa dhidi ya COVID-19

Tom Mathinji

Omanyala aweka rekodi mpya ya Afrika ya mita 100 ya sekunde 9 nukta 77 Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Watumishi wa Umma wahimizwa kushirikisha taasisi mbali mbali kufanikisha majukumu yao

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi