Erick Kapaito wa Kariobangi Sharks atawazwa mchezaji bora ligi kuu ya Kenya

Mshambulizi wa Kariobangi Sharks Erick Kapaito ametawazwa mchezaji  bora katika msimu uliomalizika wa ligi kuu nchini Kenya.

Kapaito aliibuka mfungaji bora wa ligi kuu ya Kenya akipachika mabao 24 , na  ametuzwa shilingi milioni1 kwa kuibuka mchezaji bora na nyingine laki 5  kwa kuwa mfungaji bora.

Tuzo za wachezaji ,makocha na marefa bora zimeandaliwa Jumanne jioni katika mkahawa wa Safari Park.

Erick Kapaito

Orodha kamili ya washindi na kiwango cha pesa
1.Best Assistant referee
Winner Mary Njoroge Ksh 300,000

1st Runners up Gilbert Cheruyoit Ksh 200,000

2nd Runners up Samuel Kuria Ksh 100,000

2.Referee of the year
Winner Peter Waweru Kamaku Ksh 300,000

1st Runners up Antony OgwayoKsh 200,000

2nd Runners up Davies OmwenoKsh 100,000

3.Digital Team of the year
Winner Tusker FC Ksh 200,000

1st Runners up Bandari FCKsh 150,000

2nd Runners up Kariobangi Sharks Ksh 100,000

4.Fair Play Award
Winner Ksh 300,000Kariobangi Sharks

5.Team Manager of the year
Winner George OpondoKsh 300,000

1st Runners up Noah OtienoKsh 200,000

2nd Runners up Moses JobitaKsh 100,000

6.Young player of the year
Winner Henry Meja Atola Ksh 300,000

1st Runners up Lawrence Luvanda Ksh 200,000

2nd Runners up Sylvester Owino Ksh 100,000

7.Midfielder of the year
Winner Lawrence Juma Ksh 300,000

1st Runners up Kevin Kimani Ksh 200,000

2nd Runners up Jackson Macharia Ksh 100,000

8.Defender of the year
Winner Eugene Asike Ambuchi Ksh 300,000

1st Runners up David KalamaKsh 200,000

2nd Runners up Nashon Alembi NanyendoKsh 100,000

9.Golden Glove

WinnerJames Saruni Ksh 500,000
1st Runners UpJoseph OkothKsh 300,00

2nd Runners UpSteve NjugeKsh300,000

10.Golden Boot
WinnerErick Kapaito Ksh 500,000

1st Runners up Elvis RupiaKsh 300,000

2ND Runners up Lawrence Juma Ksh 150,000

11.Presidents Award
Ksh 500,000 Rosemary Aluoch Kadondi


12.Coach of the year

Winner Robert Matano Ksh 500,000

1st Runners up Zedekiah Otieno Ksh 300,000

2nd Runners up Andre Casa Mbungo Ksh 150,000

13.MVP
Erick Kapaito Kshs 1 Million

 

Also Read
Mechi za kufuzu kombe la Dunia Amerika Kusini zaahirishwa kutokana na COVID 19
Also Read
Olunga azidisha uchu wa kupachika mabao Japan

 

  

Latest posts

Omanyala aweka rekodi mpya ya Afrika ya mita 100 ya sekunde 9 nukta 77 Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Wakenya walenga kulipiza cha Olimpiki katika mita 3000 kuruka viunzi na maji katika Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Faith Kipyegon kufunga msimu nyumbani Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi