George Karanja ashinda shilingi milioni 40 katika Jackpot ya Betsafe

Mkulima wa ng’ombe wa maziwa kutoka Kinangop George Karanja ndiye mshindi wa shilingi milioni 40 kwenye shindano la Betsafe Super Jackpot Guaranteed Bonus,kupitia kwenye droo iliyoandaliwa Jumamosi usiku.

Karanja ambaye ni baba wa watoto wawili anasema hakuamini macho yake wakati droo ilipobainisha kuwa ndiye mshindi wa kitita hicho cha pesa baada ya kuwashinda wenzake 9.

Also Read
ZINGAKBC: Shirikisho la FIDA Kenya lawataka wanawake kujitokeza kupigania nafasi za uongozi

“Inafurahisha kuwa niliingia katika fainali ya watu wawili wa mwisho licha kuwa wa saba miongoni mwa watu 10 wa mwisho walioteuliwa kuwania zawadi hii katika siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa bintiIt yangu “akasema Njoroge

Also Read
Achebi alenga kuhifadhi mkanda wa WBC katika mchezo wa Muay Thay

Njoroge amesema licha ya kujishindia shilingi milioni 40 bado analenga kushinda jackpot ya milioi 100 ,huku akipanga kutumia ushindi huo kupanua biashara yake ya ufugaji ng’ombe wa maziwa.

Also Read
Serikali yatekeleza mageuzi mapya katika magereza

Njoroge ndiye mshindi wa hivi punde kushinda kiwango kikubwa cha pesa kutokana na kamari hapa nchini Kenya, baada ya muda mrefu ,ikiwa tangu Gordon Odaga ajishindie shilingi milioni 230 katika jackpot ya Sport Pesa Februari 7 mwaka 2018.

  

Latest posts

Malkia Strikers wabanduliwa mashindano ya dunia baada ya kipigo cha seti 3-1 na Puerto Rico

Dismas Otuke

Familia ya Mbijiwe yatoa wito kwa Rais Ruto kusaidia kumpata mwana wao

Tom Mathinji

Kenya kukabana koo na Puerto Rico mechi ya mwisho ya kundi A mashindano ya dunia

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi