Guinea waipiga kumbo Rwanda na kutinga nusu fainali CHAN

Guinea walihitaji bao la mkwaju  wa adhabu wa dakika ya 60 kupitia kwa Morlaye Sila kuwashinda Rwanda 1-0 na kufuzu kwa nusu  fainali kwa ya CHAN kwa mara ya pili.

Also Read
'Commander' Nick Okoth Mkenya wa kwanza kushuka ulingoni Jumamosi usiku

Timu zote zilimaliza mechi zikisalia na wachezaji 10 uwanjani baada ya  Mori Kante  wa Guinea kupigwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza kabla ya kipa wa Rwanda Olivier Kwizera pia akipigwa umeme kwa mchezo mbaya kipindi cha pili.

Also Read
Safari ya Afrika kwenda kombe la dunia Qatar mwaka ujao yaahirishwa hadi Oktoba
Also Read
Wajue The Walias kutoka Ethiopia katika kipute cha AFCON

Guinea sasa watachuana na Mali kwenye nusu fainali ya kwanza Jumatano kabla ya Cameroon kufunga kazi na Moroko.

  

Latest posts

Boro wamtimua meneja Chris Wilder kwa matokeo duni

Dismas Otuke

Malkia Strikers warejea nyumbani kinyemela baada ya kubanduliwa mashindano ya dunia

Dismas Otuke

CAF yafungua maombi ya maandalizi ya fainali za AFCON mwaka 2025

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi