Hellen Obiri kunogesha Kip Keino Classic Jumamosi

Baada ya kusajili muda wa kasi katika mbio za mita 3000 ijumaa iliyopita mjini Doha Qatar ,bingwa wa dunia Hellen Obiri atafunga msimu nyumbani Oktoba 3 atakapotimka mashindano ya Kip Keino Classic Continental tour.

Also Read
Benin,Algeria,Burkinabe na Moroko wasajili ushindi mechi za kufuzu kombe la dunia

Obiri ambaye tayari ameshiriki mashindano matatu Tangu Agosti mwaka huu, amejumuishwa katika orodha ya wanariadha watakaopambana katika mita 5000 .

Also Read
Gor Mahia walenga kuhifadhi ligi kuu na kusajili matokeo bora katika kombe la shirikisho

Katika  mkondo wa kwanza wa Monaco Obiri alifyatuyka mita 5000 kwa muda wa dakika 14 sekunde 22 nukta 12,lakini akazidiwa maaraifa katika mkondo wa Stockholm Sweeden alipomaliza wa 11 katika mita 1500 na kufunga msimu Doha kwa kusajili  muda wa kasi katika mita 3000 wa dakika  8 sekunde 22 nukta 54.

Also Read
Rais Seb Coe kutoa taarifa Jumanne katika uwanja wa Kasarani

 

  

Latest posts

Shujaa yaangukia kundi moja na Uhispania,USA na Chile mkondo wa Edmonton 7’s

Dismas Otuke

Tegla Lorupe balozi wa amani kupitia michezo

Dismas Otuke

Kenya Lionesses kuvaana na Msumbiji kuwania tiketi ya robo fainali FIBA Afrobasket

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi