Ingwe wafungua mazoezi tayari kwa msimu mpya wa ligi kuu

Miamba wa soka nchini ,klabu ya AFC Leopards wamerejea mazoezini mapema Ijumaa kujiandaa kwa msimu mpya wa ligi kuu.

Also Read
Mabingwa wa dunia Shelly-Ann Fraser-Pryce na Tajay Gayle kuiwakilisha Jamaica Olimpiki

Leopards waliopokea ufadhili wa miaka mitatu maajuzi kutoka kwa kampuni ya kamari ya Sportika watalenga kuboresha matokeo ya msimu uliopita walipomaliza katika nafasi ya sita kwa alama 46.

Also Read
Mashemeji Derby Kasarani bila mashabiki Jumapili
Also Read
Ingwe watabasamu baada ya kuondolewa vikwazo vya usajili wachezaji na FIFA

Ingwe itavalia jezi za nembo ya Sportika msimu ujao .

  

Latest posts

Mabingwa wa dunia Ufaransa na Uingereza waangukia pua katika droo ya kufuzu kwa kombe la Euro mwaka 2024

Dismas Otuke

Uhispania yatinga nusu fainali ya EUFA Nations League

Dismas Otuke

FIVB:Kenya yaibwaga Cameroon seti tatu bila na kusajili ushindi wa kwanza mashindano ya dunia

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi