Ivory Coast yatoka jasho puani kabla ya kuilaza Equitorial Guinea 1-0 AFCON

Bao la kipindi cha kwanza lilipochikwa kimiani na nahodha Allaine Maxi Gradel lilitosha kuwapa wenyeji Ivory Coast alama tatu muhimu , katika mechi ya mwisho ya raundi ya kwanza kundi E, iliyosakatwa Jumatano usiku katika uga wa Japoma mjini Douala.

Also Read
Guinea waipiga kumbo Rwanda na kutinga nusu fainali CHAN
Maxi Gradel nahodha wa Ivory Coast akisherehekea kufunga bao

Ushindi huo unaiweka Ivory Coast katika nafasi nzuri kutinga raundi ya 16 bora, wakihitaji pointi 1 pekee kutokana na mechi mbili za mwisho dhidi Algeria na Sierra Leone ili kusonga mbele.

Also Read
Ahly waibana Zamalek na kutwaa kombe la 9 ligi ya mabingwa Afrika

Mechi mbili za kufungua mzunguko wa pili kusakatwa Alhamisi,wenyeji Cameroon wakipambana na Ethiopia saa moja ,kabla ya Cape Verde kuhitimisha ratiba dhidi ya Burkina Faso saa usiku.

  

Latest posts

Ronaldo kuachiliwa kuondoka Old Traford

Dismas Otuke

Manara na Hersi Matatani

Marion Bosire

Mary Moraa Bingwa wa Mita 800 kwa Wanawake Kwenye Michezo ya Jumuia ya Madola Mwaka 2022

Marion Bosire

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi