Jeff Mwangemi

John Madanji

Maarufu kama as ‘kijana wa zamani/ kijana wa before’. Jeff ni jamaa mwenye bashasha anayependa sana Reggea.

Jeff anatoka Voi na ni miongoni mwa watu tajika katika kutumbuiza mashabiki kwa kutumia miziki ya Reggae.

Patina na Jeff kila jumapili kuanzia saa nne katika kipindi cha rabaraba.

Twitter: @crucialjeff

Facebook: Jeff Mwangemi

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi