Kenya Comoros vikosi vyatajwa

Kocha wa Harambee Stars Jacob Mulee ametaja kikosi kitakachokabiliana na  Comoros mechi ya kufuzu kwa dimba a AFCON Jumatano usiku uwanjani Kasarani .

Kipa Arnold Origi sawa na Kapteini Victor Wanyama wameanza katika kikosi cha kwanza  haswa katika kiungo cha kati wakati Brian Mandela na Joseph Okumu wakishirikiana kwenye difensi.

Also Read
Uganda Hippos waing'ata Burkina Faso na kutinga nusu fainali AFCON U 20

Starting XI

1. Arnold Origi (GK), 13.Samuel Olwande, 3.Eric Ouma, 2.Joseph Okumu, 5.Brian Mandela, 12.Victor Wanyama, 19.Cliff Nyakeya, 8.Johana Omollo, 10.Erick Johanna Omondi, 7.Ayub Timbe, 14.Masud Juma

Substitutes

18.Ian Otieno (GK), 23.Brian Bwire (GK), 15.David Owino Odhiambo,16. David Owino Ambulu, 9.John Avire, John Mark Makwata, 17.Ismael Gonzalez, 11.Hassan Abdallah, Bonface Muchiri, 4.Johnstone Omurwa, 21.Kenneth Muguna, Anthony Akumu

Also Read
Vikosi vya Shujaa na Lionesses kwa mashindano ya Emirates Dubai 7's vyatajwa

Comoros Starting XI

23. Ahamada Ali (GK), 6. Abdou Najim (C), 10. Youssouf M’changama, 12. Kassim M’dahoma,13. Raffidine Abdullah, 14. Ali M’madi, 15. Bendjaloud Youssouf, 19. Mohammed Youssouf, 8. Ahmed Mogni, 21. El-fardou Mohammed, 22. Bakari Said.

Also Read
Gambia na Tunisia watinga semi fainali AFCON U 20

Substitutes

1.Ben Boina, 2.Abdallah Kassim, 4.Zahary Younn, 5.Soilihi Ahmed, 7.Zakouani Housseine, 9. Ibrahim Youssouf, 11.Abdubakari Nakibeu, 16.Madi Ibrahim, 18.Beurhane Yacine, 20.Mattoir Faiz.

 

  

Latest posts

Boro wamtimua meneja Chris Wilder kwa matokeo duni

Dismas Otuke

Malkia Strikers warejea nyumbani kinyemela baada ya kubanduliwa mashindano ya dunia

Dismas Otuke

CAF yafungua maombi ya maandalizi ya fainali za AFCON mwaka 2025

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi