Kenya ni ya tatu maskini zaidi kati ya mataifa yenye mapato ya kadri

Matokeo ya uchunguzi wa Benki ya Dunia  yaliotolewa  Jumatatu   yanaiorodesha   nchi hii kuwa  ya tatu maskini zaidi  miongoni mwa mataifa   yenye mapato ya kadiri kote ulimwenguni. 

Ripoti hiyo  Ripoti hiyo ya Benki ya   Dunia   kuhusu Ujumuishaji wa   Uchumi  inaonyesha kuwa zaidi  ya asili-mia   40  ya Wakenya kwa sasa wanaishi katika ufukara  uliokithiri.

Also Read
Ruto aahidi kumsaidia "Cucu wa Gikandu"

Kiwango cha umaskini ni takriban mara 10 zaidi kuliko  nchini  Pakistan na Misri ambazo pia zinaorodeshwa chumi za  pato  la  kadiri zilizoko kwenye daraja la  chini.

Also Read
Madereva wa malori wagoma kupinga uchunguzi wa lazima wa Covid-19 Malaba

Zambia ni masikini zaidi huku  asilimia 61 ya raia wake wakiishi katika ufukara ikifuatiwa na Nigeria kwa asilimia 58  huku Côte d’Ivoire  ikiwa ya nne kwa asilimia 30.

Zimbabwe ina kiwango cha chini cha umaskini wa asilimia 23 lakini ina idadi kubwa ya umaskini  huku karibu asilimia 80 ya idadi ya watu wake wakiwa maskini.

Also Read
Vijana wahimizwa kukuza taaluma zao badala ya kusubiri ajira kubwa kubwa

Matatizo ya kiuchumi na ya kijamii  yanayosababishwa na janga la Covid-19  yameathiri harakati za  kupunguza umaskini humu nchini

  

Latest posts

Makuzi ya Lugha ya Kiswahili

Tom Mathinji

Serikali yaongeza kafyu ya kuto-toka nje usiku katika kaunti tatu za Rift Valley

Tom Mathinji

Karua asema Muungano wa Azimio utahakikisha uongozi bora

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi