Kenya Pipeline waelekea Tunisia kwa mashindano ya klabu bingwa kwa vidosho

Timu ya akina dada wa Kenya Pipeline imeondoka nchini mapema Jumatano, kuelekea Kelibia Tunisia kushiriki mashindano ya kuwania ubingwa wa Viliboli ya Afrika baina ya vlabu vya wanawake.

Also Read
Bouchra Hajij achaguliwa Rais mpya wa shirikisho la voliboli Afrika

Pipeline wanarejea katika mashindano ya mara ya kwanza baada ya miaka 16.

Also Read
FIFA yatafakari kuandaa dimba la kombe la dunia kila baada ya miaka miwili

Kenya itawakilishwa pia na klabu ya Kenya Prisons na Kenya Commercial Bank ,katika mashindano hayo ya siku 12, yatakayoanza Alhamisi.

  

Latest posts

Shikanda ahifadhi uenyekiti wa AFC Leopards

Dismas Otuke

Kalle Rovanpera atwaa ubingwa wa raundi ya Kenya mashindano ya WRC

Tom Mathinji

Ajali ya kwanza yatokea katika barabara ya Expressway

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi