Kenya yaambulia pakavu baada ya Moraa kukosa kufuzu kwa fainali ya ita 800 vipusa

Kenya itakosekana katika fainali ya mita 800 kwa wasichana baada ya mwakilishi pekee  Mary Moraa kukosa kufuzu  katika nusu fainali alipomaliza wa tatu katika mcujo wa tatu kwa dakika 2 nukta  47 .

Also Read
Timu 8 kushiriki msururu wa kwanza wa Wadau Premier league
Also Read
Keter na Chepkirui washinda mita 1500 na kufuzu kwa mashindano ya dunia Kasarani

Habitamu Alemu wa Ethiopia ndiye mwafrika pekee atakayeshiriki fainali ya mita 800 baada pia ya Waganda Halimah Nakaayi na Winnie Nanyondo .

Also Read
Timu ya Kenya kwa Olimpiki yapigwa jeki ya milioni 20 na Safaricom

 

  

Latest posts

Omanyala aweka rekodi mpya ya Afrika ya mita 100 ya sekunde 9 nukta 77 Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Wakenya walenga kulipiza cha Olimpiki katika mita 3000 kuruka viunzi na maji katika Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Faith Kipyegon kufunga msimu nyumbani Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi