Kipchoge atawazwa mwanariadha bora wa Olimpiki kwa wanaume

Eliud Kipchoge ametawazwa mwanariadha bora wa kiume katika makala ya mwaka huu ya michezo ya Olimpiki iliyoandaliwa mjini Tokyo Japan .

Kipchoge ambaye ni bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za marathon, alitawazwa kwenye sherehe zilizoandaliwa mjini Crete, Ugiriki Jumapili usiku zikiwaleta pamoja maafisa kutoka kamati zote za Olimpiki duniani.

Also Read
Kenya yaambulia pakavu baada ya Moraa kukosa kufuzu kwa fainali ya ita 800 vipusa
Kipchoge akihudhuria sherehe za kumtuza nchini Uturuki

Kipchoge ambaye pia anashikilia rekodi ya dunia katika mbio za marathon alipokezwa tuzo hiyo na Rais wa kamati ya Olimpiki ya Afrika Mustapha Berraf .

Also Read
Fainali ya ligi ya mabingwa Afrika yaahirishwa na Caf
Rais wa kamati ya Olimpiki Kenya Noc-k Paul Tergat(Kulia) akiwa na katibu mkuu Francis Mutuku wakihudhuria kikao kikuu cha ANOC

Wanamichezo wengine waliotuzwa

Best Female Athlete of Tokyo 2020 – Canadian Maggie Mac Neil
Outstanding Athlete Performance – Cuban Mijain Lopez
Best Male Team at Tokyo 2020 – Japan National Baseball Team
Best Feale Team at Tokyo 2020 – New Zealand Rugby Team
Best Male Multiple Athlete Event of Tokyo 2020 – Italy Cycling Track Pursuit Team
Best Female Multiple Athlete Event of Tokyo 2020 – Estonia Fencing Epee Team

  

Latest posts

Dismas Otuke

Omanyala ajiunga na National Police Service

Dismas Otuke

Rais wa zamani wa shirikisho la riadha ulimwenguni IAAF Lamine Diack afariki akiwa na umri wa miaka 88

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi