Kourtney Kardashian na Travis Barker wafunga ndoa kwa mara ya tatu

Muigizaji wa runinga Kourtney Kardashian na Travis Barker, wamefunga ndoa  kwa mara ya tatu katika muda wa mwaka mmoja.

Kardashian mwenye umri wa miaka  43, na Barker mwenye umri wa miaka 46, walifunga pingu za maisha kulingana na picha zilizotundikwa.

Also Read
Rich Oganiru ameaga dunia

Siku ya Jumatatu, On Monday, jarida la newlyweds  lilipachika  kwa mtandao wa instagram picha za harusi ya wawili hao ambayo ilifanyika mwishoni mwa wiki.

Also Read
Tutashinda! Wimbo kuhusu Corona ulioimbwa na wambunge 10 wa Ukambani 

Kardashian aliweka picha zake  za harusi yao wakiwa katika gari lilioandikwa “Just Married” , huku picha zingine zikionyesha jinsi wanavyoangaliana kwa mahaba ndani ya gari hilo.

Aidha picha hizo zinaonyesha wawili hao wakiwa wamezingirwa na marafiki wachache wa karibu pamoja na familia.

Also Read
Harmonize kushirikiana na msanii Anjella

Nyanya yake Kardashian Mary Jo “MJ” Campbell na babake  Barker,  Randy Barker walihudhuria harusi hiyo kulingana na picha zilizotolewa na wanandoa hao.

  

Latest posts

Msanii Kajala Masanja amsamehe Harmonize

Tom Mathinji

Tarrus Riley awasili nchini kwa tamasha la Koroga Festival

Tom Mathinji

Diamond Ajisifia Kuwa Mwanamuziki Bora Tanzania

Marion Bosire

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi