Limbukeni Comoros na Gambia watinga raundi ya pili AFCON

Licha ya kushiriki  mashindano ya AFCON kwa mara ya kwanza timu za Comoros na Gambia zimevunja historia kwa kufuzu kwa raundi ya  16 bora.

Comoros walisajili ushindi mmoja pekee wa mabao 3-2 dhidi ya mabingwa mara nne Ghana kutoka kundi C na kufuzu kama mojawapo wa timu nne bora za nafasi ya tatu.

Also Read
Ingwe yaichuna Sharks huku KCB wakiwazima Western Stima
Comoros wakisherehekea ushindi dhidi ya Ghana

Kwa upande wake Gambia ilijizatiti na ksundi mechi mbili na kutoka sare huku wakimaliza wa pili kutoka kundi F kwa alama 7 ,wakiishinda Mauritania bao 1-0,kutoka sare ya 0-0 dhidi ya  Mali na kuipiga Tunisia goli 1-0 .

Also Read
Stars yaendeleza mazoezi kujiandaa kukabiliana na Misri na Togo
Gambia wakisherehekea kufuzu kwa raundi ya 16 bora 

Comoros watakabiliwa na mtihani mgumu  dhidi ya wenyeji Cameroon tarehe , 24 Januari wakati Gambia wakikumbana na Guinea pia tarehe 24 Januari.

Also Read
Senegal na Burkina Faso kumenyana Jumatano usiku kuwania tiketi ya kucheza fainali ya AFCON

 

  

Latest posts

Kimeli na Cheptai waibuka mabingwa wa mbio za kilomita 10 za Bengaluru

Dismas Otuke

Dini nchini Kenya

Dismas Otuke

Timu ya KPA Yakosa Kuingia Fainali

Marion Bosire

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi