Lionesses waanza vibaya mashindano ya Dubai 7’s

Timu ya taifa ya raga  ya Kenya kwa wachezaji 7 kila upande  kwa wanawake ,imeanza vibaya mkondo  wa kwanza wa mashindano ya mwaliko ya Dubai 7’s  mapema Ijumaa.

Also Read
Mganda William Oloya kuzihukumu Gor Mahia na NAPSA Stars kombe la shirikisho

Kenya Lionesses walipoteza mechi ya kwanza alama 14-19 dhidi ya Japan,kabla ya kunyukwa na Canada pointi 38-5.

Also Read
Maafisa wakuu wa klabu za Ligi kuu Uingereza zilizokuwa zimejiunga European Super League walazimishwa kujiuzulu

Katika mechi ya mwisho ya siku ya kwanza Kenya imeshindwa pointi 46-7 na USA.

Lioness wanatumia mashindnao hayo ya mwaliko ya wiki mbili kunoa makali kwa michezo ya Olimpiki mjini Tokyo Japan kati ya Julai na Agosti mwaka huu.

  

Latest posts

Sportpesa kurejesha ufadhili michezo nchini Kenya

Dismas Otuke

Vidosho wa Kenya wapigwa dafrao na Msumbiji mashindano ya kikapu Afrika

Dismas Otuke

FKF yakatiza mkataba wa shilingi milioni 127 na Odibets

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi