Luis Enrique kuzawadiwa kandarasi mpya kuinoa Uhispania punde wakifuzu kwa kombe la dunia

Shirikisho la kandanda nchini Uhispania RFEF limesema limeridhishwa na matokeo ya kocha wa timu ya taifa Luis Enrique katika fainali za kombe la Euro baada ya kubanduliwa katika nusu fainali na Uhispania kupitia penati .

Also Read
Olunga azidisha uchu wa kupachika mabao Japan

Shirikisho hilo limetengaza kuwa litamwongezea kandarasi meneja huyo punde baada ya kuifuzisha Uhispania kwa fainali za kombe la dunia za mwaka ujao nchini Qatar.

Also Read
Chui wa DR Congo wanusurika kufumuliwa na Libya CHAN

Yamkini kondrati hiyo mpya itakamilika mwisho wa fainali za kombe la Euro mwaka 2024,huku mkataba wake wa sasa ukitamatika mwishoni mwa mwaka 2022.

Enrique alikashifiwa na wahakiki na mashabiki wengi nchini Uhispania alipotangaza kikosi kwa fainali za euro mwaka huu huku akiwatema wachezaji nyota wengi na baadae kikosi chake kukumbwa na ugonjwa wa Covid 19.

  

Latest posts

Timu ya taifa ya raga yanoa makali kabla ya michuano ya Jumuiya ya Madola

Tom Mathinji

Mchezaji Sopu Ajiunga na Azam FC

Marion Bosire

Morans yang’olewa kwa mechi za kufuzu kwa kombe la dunia

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi