Mark Makau na Nancy Kariuki washinda mashindano ya Gofu ya Konza City

Mark Makau ndiye bingwa wa mashindano y amwaka huu ya Konza Golf Day ambayo huandaliwa kila mwaka.

Makau alizoa pointi 41 na kuwazidia maarifa wapinzani wengine 130  kwenye mashindano hayo yaliyoandaliwa katika uwanja wa Machakos Golf Club na kukamilika Jumamosi.

Also Read
Tusker FC wabanwa koo na Wazito na kuyumbisha harakati za kuwahi tiketi ya Ligi ya mabingwa
Mheshimiwa Jamleck Kamau akishiriki mashindano

Makau aliwashinda Paul Temba wa Railway Golf Club na James Nunda kwa njia ya counterback huku wawili hao wakizoa alama 40.

Also Read
'Kazi ipo 'asema kocha mpya wa Gor Mahia Roberto Oliveira baada ya kushika hatamu

“Nafurahia kushinda leo,nilijihisi kuwa nacheza vyema katika mechi zangu zote za leo “ akasema Makau baada ya kutawazwa mshindi.

Also Read
Ronaldo aweka historia kuwa mwanasoka wa kwanza kufunga zaidi ya mabao 100 katika ligi kuu tatu
Mwenyekiti wa KoTDA Dr. Arch. Reuben Mutiso

Nancy Kariuki akicheza handicap 14  aliibuka mshindi kwa wanawake baada ya kujizolea pointi 35 ,alama 2 zaidi ya Nancy Wairimu.

 

 

  

Latest posts

Odibets kumsaidia Omanyala kupata mazaoezi bora na makocha wataalam

Dismas Otuke

Vyama vya soka vya kaunti vyawsilisha mapendekezo kwa mswaada michezo wa Senata Aaron Koech

Dismas Otuke

Shujaa kuwinda pointi zaidi Edmonton 7’s

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi