Mchuano wa Ligi kuu Uingereza kati ya Newcastle na Aston Villa waahirishwa kisa Covid 19

Mchuano wa ligi kuu Uingereza Ijumaa hii baina ya Newcastle United dhidi ya Aston Villa katika uwanja wa St James Park umeahirishwa kutokana na ugonjwa wa Covid 19.

Also Read
Manchester United kucheza mechi 5 za ligi kuu Uingereza baina ya 9 na 23

Wasimamizi wa ligi kuu Uingereza wamelazimika kufutilia mbali mechi hiyo baada ya wachezaji watano  na wafanyikazi wawili wa Newcastle  kupatikana na  virusi vya Korona wakiwa mazoezini.

Also Read
Ratiba ya ligi kuu ya FKF kubainika Jumatano

Hii ni mara ya kwanza kwa mechi ya ligi kuu kuahirishwa msimu huu kutokana na Covid 19 huku tarehe mpya ya  kuchezwa kwa pambano hilo ikitarajiwa kupangwa upya.

Also Read
Hit Squad njiani kuelekea Tokyo kwa Olimpiki

Wachezaji na wafanyikazi wote wa Newcastle watafanyiwa vipimo vingine baadae wiki hii kubaini hatima yao na hali halisi kilabuni kuhusu Covid 19.

  

Latest posts

Odibets kumsaidia Omanyala kupata mazaoezi bora na makocha wataalam

Dismas Otuke

Vyama vya soka vya kaunti vyawsilisha mapendekezo kwa mswaada michezo wa Senata Aaron Koech

Dismas Otuke

Shujaa kuwinda pointi zaidi Edmonton 7’s

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi