Michezo kufunguliwa tena nchini baada ya kufungwa kwa mwezi mmoja

Shughuli za michezo zinatarajiwa kurejelewa tena hivi karibuni baada ya Rais Uhuru Kenyatta  kuagiza wizara ya michezo na ile ya afya kubuni mikakati na kuweka itifaki za jinsi ya kufungua tena michezo.

Also Read
Nafasi ya Kenya kwenda AFCON 2022 yadidimia baada ya kukabwa koo na Comoros

Kwenye hotuba yake kutoka ikulu ya Nairobi  wakati wa sherehe za Leba Dei ,Rais Kenyatta amegiza wizara hizo kuratibu jinsi ya kufungua michezo kwa kuzingatia sheria  za Covid 19.

Also Read
Twaha Mbarak amtaka Rais kumteua Waziri aliye na weledi wa usimamizi wa michezo

Michezo  ilifungwa Machi 27 kama njia moja ya kuzuia na kupunguza msambao wa virusi vya Korona .

Also Read
Harambee Stars yasajili ushindi wa pili baada ya kuipiga kumbo Taifa Stars 2-1

Taarifa hiyo ya Jumamosi ni afueni kwa sekta ya michezo iliyokuwa imesambaratika huku vijana na watu wote waliokuwa wanategemea michezo  wakiachwa  hoi bin taabani.

  

Latest posts

Malkia Strikers wabanduliwa mashindano ya dunia baada ya kipigo cha seti 3-1 na Puerto Rico

Dismas Otuke

Boubacar Kamara kutocheza kwa muda kutokana na Jeraha

Tom Mathinji

Kenya kukabana koo na Puerto Rico mechi ya mwisho ya kundi A mashindano ya dunia

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi