Mnyanyuaji uzani mtoro wa Uganda apatikana siku nne baada ya kuingia mafichoni

Mnyanyuazi uzani wa Uganda Julius Ssekitoleko amekamatwa na maafisa wa polisi katika eneo la Mie  mapema Jumanne tangu atoweke Ijumaa iliyopita kutoka kwa Hoteli yake.

Sekkitolo aliye na umri wa miaka 20 aliptoweka kutoka kwa hoteli yake wiki jana  na kukosa kufanyiwa vipimo vya Covid 19 ,na amekuwa akitafutwa kama njia moja ya kuzuia msambao ugonjwa a Covid 19.

Also Read
Rais wa FIFA Infantinho akashifu kubuniwa kwa ligi mpya ya Ulaya

Polisi pia wamesema walipata waraka kwenye chumba chake  alioandika akisema kuwa angependa  nguo zake na vitu vvingine vya matumizi alivyoacha chumbani humo visafishwe hadi Uganda na kukabidhiwa familia yake.

Also Read
Ligi ya FKF Division 1 kuanza Jumamosi
Wanariadha wa Uganda

Mnyanyuaji uzani huyo alipatikana katika nyumba ya jamaa wake  na maafisa wa polisi na  ambao bado hawajaamua iwapo watamkabidhi kwa ubalozi wa Uganda au kumrejesha makawo au kumkamata.

Also Read
Rising Stars ya Kenya yalenga taji ya Cecafa U 20 Tanzania

Wanachama wawili wa kikosi cha Uganda walipataikana na Ugonjwa wa Covid 19 wakati wa kuwasili mwezi jana nchini Japan kwa michezo ya Olimpiki.

Yamkini mwanariadha huyo alitoweka  ili kutafuta kazi nchini Japan.

 

  

Latest posts

Police Fc washerehekea kurejea ligi kuu baada ya mwongo mmoja kwa dhifa

Dismas Otuke

Mwanafunzi ateketeza bweni kukwepa kufanya mitihani Tharaka Nithi

Tom Mathinji

Mahakama yamzuia Mohammed Badi kuhudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi