Mshukiwa wa ugaidi akamatwa nchini Uganda

Mshukiwa wa shambulizi la kujilipua kwa bomu, amekamatwa nchini Uganda kwa kupanga kuwalipwa waombolezaji wakati wa mazishi ya kamanda wa kijeshi aliyejulikana kama Lion of Mogadishu.

Maheremu Meja-Jenerali Paul Lokech alipata jina hilo wakati alipoongoza kikosi cha muungano wa Afrika nchini Somali-AMISOM.

Also Read
Kenya na Uganda zazindua matibabu dhidi ya ugonjwa wa Trachoma

Mshukiwa huyo alikamatwa Alhamisi jioni katika jumba la wageni karibu na eneo la Pader kwenye oparesheni ya pamoja ya asasi za usalama.

Also Read
Wanasiasa waonywa dhidi ya kuvuruga amani hapa nchini

Hatibu wa jeshi, Flavia Byekwaso alisema alipatikana akiwa na vifaa vya kutengeneza bomu. Washirika wake walitambuliwa na oparesheni inaendelea ya kuwasaka.

Also Read
Museveni aidhinishwa kugombea tena Urais nchini Uganda

Meja Jenerali Paul Lokech aliyekuwa na umri wa miaka 55, aliyekuwa akihudumu kama naibu Inspekta Jenerali wa polisi, alifariki kutokana na kuganda damu mwilini nyumbani kwake siku ya Jumamosi.

  

Latest posts

Rais Kenyatta amwomboleza Nancy Karoney, dadake waziri wa ardhi Farida Karoney

Tom Mathinji

Ronald Koeman atimuliwa Barcelona baada ya kushindwa na Vallecano

Dismas Otuke

Mutahi Kagwe: Wahudumu wa afya wafeli katika somo la Kingereza

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi