Niyonsaba avunja rekodi ya dunia ya mita 2000 Zagreb

Francine Niyonsaba wa Burundi alivunja rekodi ya dunia mbioa za mita 2000 akisajili rekodi mpya ya dakika 5 sekunde 21 nukta 56 katika mkondo wa 11 wa Continental tour mjini Zagreb Croatia Jumaane usiku.

Also Read
Kenya kuandaa mashindano ya kufana ya Kip Keino classic Asema Tuwei
Also Read
Kothbiro yapata ufadhili wa muda mrefu kutoka Betmoto

Niyonsaba alivunja rekodi ya awali yake Genzebe Dibaba wa Ethiopia ya dakika 5 sekunde 23 nukta 75 mwaka 2017.

  

Latest posts

Omanyala aweka rekodi mpya ya Afrika ya mita 100 ya sekunde 9 nukta 77 Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Wakenya walenga kulipiza cha Olimpiki katika mita 3000 kuruka viunzi na maji katika Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Faith Kipyegon kufunga msimu nyumbani Kip Keino Classic

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi