Pipeline yawatetemesha Asec Mimosas ya Ivory Coast mashindano ya klabu bingwa

Mabingwa mara 6 wa kombe la Afrika katika voliboli ya akina dada Kenya Pipeline walianza  mashindano ya mwaka huu mjini Kelibia Tunisia kwa madaha ,baada ya kuwachachafya  Asec Mimosas kutok Ivory Coast seti 3-0 kwa alama za 25-11,25-11 na 25-11.

Also Read
Casa Mbungo wa Bandariu FC atawazwa kocha bora ligi kuu mwezi Februari
Also Read
Hellen Obiri kukosa kutetea taji ya dunia ya mbio za Nyika mwaka ujao

Pipeline wamejumuishwa kundi B pamoja na wenyeji Carthage ,National Alcohol kutoka Ethiopia,Customs ya Nigeria,AS Douanes ya Burkina Fso na Asec Mimosas.

Also Read
Kenya kuandaa Kipkeino Classic continental tour mwaka ujao

  

Latest posts

Police Fc washerehekea kurejea ligi kuu baada ya mwongo mmoja kwa dhifa

Dismas Otuke

Sportpesa kurejesha ufadhili michezo nchini Kenya

Dismas Otuke

Vidosho wa Kenya wapigwa dafrao na Msumbiji mashindano ya kikapu Afrika

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi