Polisi wawakamata wafungwa watatu waliotoroka Kamiti

Mbio za sakafuni ziliisha ukingoni kwa Wafungwa watatu waliotoroka katika gereza la Kamiti, baada ya maafisa wa usalama kuwatia nguvuni washtakiwa hao wa ugaidi.

Watatu hao Musharraf Akhulunga, Mohamed Ali Abikar na Joseph Juma Odhiambo, walikamatwa katika msitu wa Enzio ulioko Mwingi Mashariki Kaunti ya Kitui siku ya Alhamisi. Inaaminika walikuwa safarini wakielekea nchini Somalia.

Also Read
Mfungwa aliyehukumiwa kuhusiana na shambulizi la Chuo Kikuu cha Garissa ajitia kitanzi
Also Read
Zoezi la utoaji chanjo dhidi ya Poli katika kaunti 13 kuanza mwishoni mwa wiki

Kutoroka kwa wafungwa hao, kusababisha kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa maafisa saba wa magereza, kutokana na utepetevu wao kazini.

Siku ya Jumatano, Rais Uhuru Kenyatta alimwachisha kazi Wycliffe Ogallo wadhifa wa kamishna mkuu wa magereza na kumteu Brigadier Mstaafu John Kibaso kuchukua mahala pake.

Also Read
Serikali kutumia kamera za angani kukabiliana na uhalifu katika mpaka wa Kitui na Tana River

Tutakuletea habari zaidi

  

Latest posts

Ngirici aondoa kesi mahakamani kupinga ushindi wa Gavana Waiguru

Tom Mathinji

Rais Museveni awaomba Wakenya msamaha

Tom Mathinji

Joyciline Jepkosgei apandishwa cheo hadi Sergeant baada ya ufanisi wa London Marathon

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi