Rais Joe Biden apona virusi vya Covid-19

Rais Joe Biden wa marekani amekoma kujitenga baada ya kuthibitishwa kwamba amepona ugonjwa wa Covid-19 kwa siku ya pili mfululizo.

Hii ni mara ya kwanza ameweza kuondoka katika Ikulu ya White House tangu tarehe 20 mwezi Julai. Biden mwenye umri wa miaka 79 alikuwa amethibishwa kuwa na ugonjwa huo na akajitenga tarehe 30 mwezi huo huo kufuatia matokeo ambayo madaktari walisema aliambukizwa tena baada ya maradhi ya awali.

Also Read
Australia kuwatumia wanajeshi kutekeleza masharti dhidi ya Covid-19
Also Read
Magufuli kuzikwa Alhamisi tarehe 25 Machi

Akiwahutubia wanahabari katika ikulu ya White House, Biden alisema anahisi buheri wa afya. Alisema ana imani kuwa mswada kuhusu hali ya anga na huduma za afya uliojadiliwa katika bunge la Senate.

Also Read
Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

Ratiba rasmi ya Biden inaashiria kwamba anatarajiwa kusafiri hadii kwenye jimbo la Kentucky kusini ya nchi hiyo, lililoathirika kutokana na mafuriko.

  

Latest posts

Boro wamtimua meneja Chris Wilder kwa matokeo duni

Dismas Otuke

Marekani kutatua mzozo wa mpakani baina ya Israel na Lebanon

Tom Mathinji

Aliyekuwa kiongozi wa kijeshi Burkina Faso Paul-Henri Damiba ajiuzulu

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi