Rashid Mwamkondo

John Madanji

Rashid Mwamkondo ni mtayarishi na mtangazaji wa kipindi cha Tafrija. 

Mwaka wa 2012 alituzwa mtangazaji bora wa soka na Football Kenya Federation (FKF) Mombasa.

Mwamkondo ana tajriba ya zaidi ya miaka 10 katika uanahabari. Hapo awali alifanya kazi na  Shirika la Utangazaji la Rahma na Radio Salaam kule Mombasa. Pia na shirika la takwimu nchini, KNBS.

Facebook tupatane kwa Rashid Mwamkondo

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi