Safari ya kwenda AFCON 2021 yarejea

Mechi kadhaa za kufuzu kwa kombe la AFCON makala ya 32 mwaka 2022 nchini Cameroon zitachezwa baina ya Jumatano na Alhamisi zikiwa mechi za mzunguko wa tatu hatua ya makundi huku michuano ya awamu ya nne ikichezwa kati ya Jumamosi na Jumapili Ijayo.

Also Read
Gladys Erude kuzikwa tarehe 14 Agosti kaunti ya Nandi

Mataifa 48 ya Afrika yametengwa katika makundi 12 ya timu 4 kila moja na d baada ya mechi 6 za kila kundi mataifa 24 bora,timu mbili bora kutoka kila kundi zitafuzu kwa dimba la AFCON mwaka 2022 .

Also Read
Gor Mahia wako ngangari kumenaya na APR Jumamosi

Katika ratiba ya Jumatano usiku  Cape Verde wako nyumbani dhidi ya Amavubi ya Rwanda ,Guinea iwaalike Chad,Kenya wachuane na Comoros nao Mauritania waikabili Burundi .

Simba wa Teranga wako Dakar dhidi ya Guinea Bissau kisha Libya wapambane na Equitorial Guinea.

Ufuatao ni msimamo wa makundi yote ulivyo kufuatia mechi 2 za makundi hadi sasa:

 

Also Read
Malkia Strikers kupiga mazoezi ughaibuni kujiandaa kwa Olimpiki

Michuano hiyo iliahirishwa kutoka mwezi Machi kwa sababu ya  janga la COVID 19.

 

  

Latest posts

Dismas Otuke

Omanyala ajiunga na National Police Service

Dismas Otuke

Rais wa zamani wa shirikisho la riadha ulimwenguni IAAF Lamine Diack afariki akiwa na umri wa miaka 88

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi