Safaricom yapiga jeki Kip Keino Classic kwa shilingi milioni 2

Kampuni ya Safaricom imeyapiga jeki mashindano ya Kip Keino Classic jumamosi hii Oktoba 3 katika uwanja wa taifa wa Nyayo kwa kutoa ufadhili wa shilingi milioni 2.

Also Read
Kenya tayari kuandaa Safari Rally asema Rais Uhuru

Pesa hizo zitatumika kuandaa kituo cha wanahabari ambao watakuwa Zaidi ya 700  kutoka humu nchini na wale wa kigeni .

Also Read
Rais Kenyatta kufungua uwanja wa Nyayo leo

Kulingana na CEO wa Safaricom Peter Ndegwa  kampuni hiyo imekuwa ikitoa msaada na kupiga jeki riadha nchini kwa miaka 20  iliyopita na wataendelea  kuwekeza katika rmichezo humu nchini.

Also Read
Kocha wa Togo Claude Le Roy ang'atuka baada ya kuwa usukani kwa miaka mitano

Zaidi ya  wanariadha 150 kutoka nchini mbalimbali watashiriki mashindano ya kesho.

 

  

Latest posts

Malkia Strikers yafunga mechi za makundi kwa kuilaza Burundi seti 3-0 mashindano ya kuwania kombe la Afrika

Dismas Otuke

Waziri wa zamani wa michezo Hassan Wario afungwa miaka 6 gerezani na kulipa faini ya shilingi milioni 3 nukta 6

Dismas Otuke

Bingwa mara tatu wa dunia Justin Gatlin awasili tayari kushiriki Kip Keino Classic Jumamosi

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi