Sauti Sol, Ethic, Khaligraph kwenye tuzo za MAMA

Kundi la muziki la Kenya Sauti Sol, lile la Ethic na mwanamuziki Khaligraph ndio wakenya pekee ambao wameteuliwa kuwania tuzo za MAMA mwaka 2021.

Sauti Sol na Ethic wameteuliwa kuwania tuzo la kundi bora la muziki Afrika na wanashindana na wengine kama vile Blaq Diamond, Kabza De small na Dj Maphorisa wa Afrika kusini, Calema wa kisiwa cha São Tomé and Príncipe na Rostam wa Tanzania.

Khaligraph naye ameteuliwa kuwania tuzo la mwanamuziki bora wa hip hop ambapo anamenyana na Nasty C wa Afrika Kusini, Suspect 95 wa Ivory Coast, Kwesi Arthur wa Ghana, NGA wa Angola na OMG wa Senegal.

Huenda wasanii wa nchi mbali mbali wasihitajike kusafiri hadi Uganda mwakani ambapo tuzo hizo za mwaka 2021 za MAMA zitaandaliwa kutokana na masharti ya kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona.

Also Read
Vanessa Bryant amkumbuka mume wake na binti yao

Hafla ya uteuzi ilipeperushwa mubashara kwenye runinga ya MTV Base kwa muda wa dakika 45 jana jumatano na huenda marudio yakawa hii leo.

Tuzo za Mama zitaandaliwa tarehe 20 mwezi Februari mwaka 2021 na zinarejea tena tangu mwaka 2016.

Soma orodha kamili ya uteuzi hapa;

Best Female
Simi (Nigeria)
Sheebah (Uganda)
Sho Madjozi (South Africa)
Busiswa (South Africa)
Yemi Alade (Nigeria)
Soraia Ramos (Cape Verde)
Tiwa Savage (Nigeria)

Best Male
Burna Boy (Nigeria)
Innoss’B (Democratic Republic of Congo)
Kabza De Small (South Africa)
Harmonize (Tanzania)
Fireboy DML (Nigeria)
Master KG (South Africa)
Rema (Nigeria)

Also Read
Anne Kansiime amejifungua!

Best Group
Blaq Diamond (South Africa)
Sauti Sol (Kenya)
Kabza De Small / DJ Maphorisa (South Africa)
Calema (São Tomé and Príncipe)
Ethic (Kenya)
Rostam (Tanzania)

Artist of the Year
Burna Boy (Nigeria)
Calema (São Tomé and Príncipe)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Master KG (South Africa)
Davido (Nigeria)
Tiwa Savage (Nigeria)
Wizkid (Nigeria)

Best Breakthrough Act
Elaine (South Africa)
Tems (Nigeria)
Omah Lay (Nigeria)
Zuchu (Tanzania)
John Blaq (Uganda)
Sha Sha (Zimbabwe)
Focalistic (South Africa)

Best Hip Hop
Nasty C (South Africa)
Suspect 95 (Cote d’Ivoire)
Khaligraph Jones (Kenya)
Kwesi Arthur (Ghana)
NGA (Angola)
OMG (Senegal)

Best Ugandan Act
Sheebah
Bebe Cool
John Blaq
Vinka
Daddy Andre
Spice Diana

Also Read
Rwanda Uganda waumiza nyasi bila lengo

Best Lusophone Act
Calema (São Tomé and Príncipe)
Preto Show (Angola)
Anna Joyce (Angola)
Mr Bow (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Soraia Ramos (Cape Verde)

Best Francophone Act
Innoss’B (Democratic Republic of Congo)
Suspect 95 (Cote d’Ivoire)
Dip Doundou Guiss (Senegal)
Stanley Enow (Cameroon)
Fally Ipupa (Democratic Republic of Congo)
Gaz Mawete (Democratic Republic of Congo)

Alone Together: Best Lockdown Performance
Diamond Platnumz (Tanzania) – Africa Day Benefit Concert
Black Motion (South Africa) – Red Bull Rendezvous
Niniola ft Busiswa (Nigeria / SA) – Africa Day Benefit Concert
Singuila (Congo) – DCDR Series
AKA (South Africa) – AKA TV
Yemi Alade (Nigeria) – Poverty (live session)

  

Latest posts

Rayvanny Kumtambulisha Msanii wa Kwanza NLM

Marion Bosire

Dulla Makabila Ajiondolea Lawama

Marion Bosire

Mwigizaji Atoa Ilani Kwa Rais Museveni

Marion Bosire

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi