Shirika la CMD kuendesha uchaguzi wa AFC Leopards

Shirika la Centre for Multi Party Democracy( CMD) limeteuliwa kuendesha uchaguzi wa klabu ya AFC Leopards   ulioratibiwa kuandaliwa Juni 26  mwaka huu.

Also Read
Uhamasisho wa umma dhidi ya matumizi ya tumbaku waanzishwa

Shirika hilo limekuwa likiandaa chaguzi kadhaa za vlabu nchini  ukiwemo uchaguzi  wa  klabu hiyo miaka mitatu iliyopita.

Wanachama waliojisajili wa klabu hiyo pekee ndio wataruhusiwa kuwachagua viongozi watakaosimamia Ingwe kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Also Read
Chui watoa kucha ligini na kudumisha rekodi ya 100%

Mwenyekiti wa sasa Dan Shikanda tayari ametangaza kutetea kiti chake .

Also Read
Beki wa Codivour Sol Bamba aendelea kupokea matibabu ya saratani

Shikanda alichaguliwa mwenyekiti mwaka 2019 alipozoa kura 457 dhidi ya mpinzani wake  Bernard Musundi aliyepata kura 165.

  

Latest posts

Kalonzo: baadhi ya walioteuliwa kuwa Mawaziri si waadilifu

Tom Mathinji

George Kinoti amkabidhi mamlaka kaimu mkurugenzi wa DCI Hamisi Massa

Tom Mathinji

Rais Ruto abuni kamati ya kutathmini mtaala wa CBC

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi