Shujaa waambulia kichapo cha 5-14 kutoka kwa Afrika Kusini Olimpiki

Timu ya Kenya ya raga kwa wachezaji 7 upande imepoteza mechi ya pili ya kundi C alama   14-5 na Afrika Kusini  katika uwanja wa   Olimpiki wa Tokyo Japan.

Also Read
WHO: Covid-19 hausambazwi kupitia kuwanyonyesha watoto

Collins Injera alifunag try ya pekee ya Shujaa ikiwa ushinde wa pili baada ya kunyukwa na Marekani pointi 14-19 mapema Jumatatu.

Also Read
Chipukizi wa Tunisia Ahmed Hafnaoui ndiye mshiriki wa kwanza wa Afrika kushinda dhahabu Tokyo katika Uogeleaji mita 400 Free Style
Also Read
Huduma za maji kukatizwa katika mitaa iliyoko barabara ya Waiyaki

Timu hiyo  itarejea uwanjani mapema  Jumanne kwa mkwangurano wa mwisho dhidi ya  Ireland.

  

Latest posts

Mauaji ya mwanaume mmoja yazidisha taharuki Ol Moran

Tom Mathinji

Sportpesa kurejesha ufadhili michezo nchini Kenya

Dismas Otuke

Mgomo wa wahudumu wa afya wasababisha maafa Guinea Bissau

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi