Shujaa wako tayari kwa Olimpiki asema nahodha Ambaka

Timu ya taifa ya raga kwa wachezaji  7 kila upande maarufu kama Shujaa imejiandaa vyema kwa michezo ya Olimpiki wakifungua ratiba dhidi ya Marekani na Afrika Kusini tarehe 26 mwezi huu.

Kwa mjibu wa nahodha Willy Ambaka  wako ngangari kwa  michezo hiyo  huku wakijivunia ujuzi waliopata baada ya kushirii Olimpiki ya mwaka 2016 mjini Rio De Janeiro Brazil.

Also Read
Kenya yafungiwa nje ya Afcon baada ya kuogelea ufuoni Comoros

“Kwa sasa tunakaribia  kuanza shughuli yetu ,vijana wote wako roho juu ,tuna kikosi chenye uzoezvu  lakini tunatahadhari  sana pia  maana tunahitaji kuwa na utulivu “akasema Ambaka
“lengo letu ni kuongoza kundi letu,tumejiandaa vyema,tuna benchi ya kiufundi iliyo na uzoevu  tunahitaji tu kumakinika “akaongeza Ambaka

Also Read
Majambazi wawili wauawa na polisi baada ya kumuibia mwanamke Lang'ata
Also Read
Wanariadha wa mbio za Sprints wawasili Kurume Japan

Shujaa wataanza mechi za kundi A katika michezo ya Olimpiki tarehe 26 dhidi ya USA kabla ya kumenyana na Afrika kusini na kufunga mechi hizo tarehe 27 dhidi ya Ireland.

  

Latest posts

Mauaji ya mwanaume mmoja yazidisha taharuki Ol Moran

Tom Mathinji

Sportpesa kurejesha ufadhili michezo nchini Kenya

Dismas Otuke

Mgomo wa wahudumu wa afya wasababisha maafa Guinea Bissau

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi