Riadha Kenya kuandaa seminaa kwa wanariadha Januari 21 kutangulia mashindano ya kitaifa
Chama cha riadha Kenya ,kitaandaa seminaa ya siku moja,Ijumaa hii Januari 21 katika mkahawa wa Queens Garden mjini Eldoret ,ikitangulia mashindano ya kitaifa katika kijiji...