Twaha azilipia timu za wanawake ada ya kushiriki huku makataa ya Februari 24 yakikaribia
Mwaniaji Urais wa shirikisho la soka nchini FKF Twaha Mbarak ,ameahidi kuzilipia klabu zote za wanawake ada ya kushiriki, illi kuafikia makataa ya kujisali ifikiapo...