Sukari ya Chemilil yakosa ‘utamu’ baada ya kuvunjwa kwa kilabu cha Chemilil Sugar FC
Timu ya Chemilil Sugar FC iliyokuwa ikishiriki ligi kuu ya Kenya KPL ,imevunjiliwa mbali huku wachezaji na maafisa wote wa benchi la kiufundi wakiruhusiwa kuondoka....