Taasisi za washauri bingwa wa China na Afrika ni muhimu katika kutoa mapendekezo ya maeneo ya ushirikiano kati ya China na Afrika
Na Fadhili Mpunji. Kuanzia tarehe 20 -21 Mwezi Julai, Mkutano wa 11 wa jumuiya za washauri bingwa kati ya China na Afrika ulifanyika hapa Beijing....