Wakenya wachache kushiriki mkondo wa pili wa Birmingham Diamond League Jumamosi
Idadi ndogo ya wanariadha wa Kenya watashiriki mkondo wa pili wa mashindano ya diamond league utakaondalwia Jumamosi jioni mjini Birmingham Uingereza. Mshindi wa Kip Keino...